Ibada ya mkesha wa Pasaka ikiendelea katika kankisa la RC Ludewa usiku huu
Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa CCM Ludewa na waumini wengine katika ibada ya mkesha wa Pasaka
Waumini wa dini ya Kikristo katika kanisa la Roman Katoliki Parokia ya Ludewa wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe wameunga na wakristo wengine kote dunia katika mkesha wa pasaka unaoendelea katika kanisa hilo .
Katika ibada hiyo ya Mkesha wa Pasaka mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe ameungana na wapiga kura wake hao katika ibada hiyo pamoja na kufanya ubatizo wa mtoto wake usiku huu. Picha na Francis Godwin
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...