Home
Unlabelled
Muwekezaji anapoamua kuingia mwenyewe mzigoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmmh huyu muwekezaji hana cha helmet wala buti, ba hata nywele hana labda walau zingemsitiri na msumari...kaka michuzi hii si sawa
ReplyDeleteHivi umejuaje kama ni mwekezaji?? Rangi yake au kitu gani!! Au ulimuuliza??
ReplyDeleteKwani cha ajabu nini hapo? Vitu vingine hata havina kichwa wala miguu. Kwani hamjawahi kuwaona akina Richard Branson wanafanya vitu wenyewe?Tatizo la bobgo basi mtu akiwa bosi watu wanamtegemea avae tu suti na kutoa amri. Huo ni ubwenyenye
ReplyDeleteTujifunze kwa hawa wenzetu kuwa unapopata nafasi ya kusave fedha kwa kuchangia kwenye kibarua basi piga mzigo.
ReplyDeleteAnony Mon Apr 16, 05:23:00 PM 2012 unapatikana wapi baada ya saa za kazi nikupatie kinywaji?
ReplyDeleteKweli mie nachukia sana nikiona picha na maelezo yanayochochea ubaguzi.