Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sasa profesor utarudi line nyumbani?? Naona uzee nao unakuja, watanzania watafaidika je na hii elimu yako?? Asante

    ReplyDelete
  2. Professor Lemmy, jikumbushe zaidi ile dialectical method called HEGELIAN DIALECTIC, ile falsafa ya Georg Hegel. A philosophy which describes a never ending cycle with only three steps: (KWANZA) thesis-kuna amani na mambo yanenda sawa, (PILI) antithesis-in the most clever way vurugu, matatizo, na suffering are introduced by force to the masses, and (TATU) hypothesis-hao walioleta vurugu na matatizo kwa watu wanakuja skillfully kama watu resourceful with capacity and solutions for the crisis they have created but only this time they steal, plunder, and acquire leadership power by force for the purpose of enriching a selected special interest group. And then the cycle starts again (First) thesis, (Second) antithesis, and (third) hypothesis. It is important to notice that the cycle does not stop, but it continues on and on and on — and on perpetually, in order to build a stronghold of power that will last.
    Professor Lemmy, sikubaliani nawewe kabisa. These anonymous-messages works and works very well, zinajenga na kuzi-reinforce vizuri sana bad attitudes. Kumbuka PALIPO NA VURUGU (hewa inapochafuliwa) KUNA MWANYA MKUBWA wa kuingia kwa nguvu kwenye madarakana na kuiba.
    Prof, people are ready to sell their father and mother for power. Njaa ya power ni kali sana!

    ReplyDelete
  3. Mdau wa Kwanza wacha Profesa aendelee na Mishahara yake ya huko Majuu, huu mshike mshike wa Mishahara ya Kibongo ataiweza?

    Cha umuhimu ili Watanzania na Tanzania inufaike na Elimu yake hata kama atabaki huko ni kuandaa Miradi na tafiti zinazolenga Maendeleo na ustawi wa huku Nyumbani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...