MWENYEKITI WA CCM,RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. WIZI WA BILIONI 550 ULIOONEKANA:

    Hawa Mawaziri licha ya kupokonywa Uwaziri ni muhimu kuonyesha kuwa 'wizi' sio sera na sasa adhabu hutolewa.

    CHA KUFANYA:

    1-Wapigiwe mahesabu ya hasara walizoingiza, au wahesabiwe mali wanazomiliki kupitia wizi.

    2-Wabakishiwe kilicho cha halali kwao, 'mali' na 'fedha chafu' zifilisiwe na kurudisha Serikalini.

    3-Mwisho ni wao kusekwa JELA.

    KAMA WATAFANYIWA HIVI, ITAKUWA NI FUNDISHO KWA KUWA HATA KAMA WAKICHAGULIWA WAPYA WATAONA MCHEZO NI ULE ULE MAANA HAKUNA ADHABU!

    MIFANO:

    1.RWANDA,-Raisi Paul Kagame aliwakamata Maafisa wa Jeshi na akawawajibisha 'sio kwa wizi' au 'ubadhirifu' bali kwa sababu ya kujihusisha na Biashara wakati Kanuni za kazi zao haziwaruhusu kwa muda wa utumishi walionao Jeshini.

    2.NIGERIA,-Gavana wa Benki kuu aliyepita Mwanamama aliiba US$ 3 Billion ,lakini akaziwekeza ndani ya Nigeria , alikamatwa mali zikahesabiwa akarudishiwa zilizo halali kwake zilizobaki zikafilisiwa na Serikali.

    LAZIMA MABADILIKO KTK JINSI YA KUWASHUGHULIKIA WEZI WA MALI ZA UMMA YAWEPO ILI WENGINE WATAKAO KUJA WAJIREKEBISHE!

    ReplyDelete
  2. HAYAWI HAYAWI MWISHO YATAKUWA VIJANA TUNAUCHUNGU NA NCHI YETU MPAKA KITAELEWEKA TU

    ReplyDelete
  3. Assalama Lekko zako !!!,,,,,, Mkaguzi Mkuu wa MAHESABU YA SERIALI:

    Mzee Ludovick Utouh huyu mahesabu yake habahatishi!

    Si mnaona chati yake ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mahesabu ya Serikali nchi za Jumuia ya Madola.

    Sasa leo, kazi kubwa aliyoifanya mzee wetu kwa ukaguzi wake wa mahesabu halafu wahalifu wasiwajibishwe kweli tutakuwa tumemweka wapi?

    ReplyDelete
  4. Wewe Anonymous Sat Apr 28, 12:25:00 PM 2012
    Hao wanaoitwa "Vijana" ndio wanaongoza kwa kuiba kwenye hili baraza la mawaziri wananunua nyumba za dollar milioni moja kwa dola taslimu(cash). Go figure!
    Hakuna maadili ya mmongonyoko wa maadili ni wazi. Mtu asipoiba anaitwa "mjinga". Ndugu wananchi naomba tubadilike na kuhoji tunapoona mambo yasiyokuwa na maadili.

    ReplyDelete
  5. Siyo bure...hawa akina Ngeleja hata exposure hawana...unadhani watakuwa na lipi jipya la kuifaidisha nchi zaidi ya kujifaidisha wenyewe...zamu yao imefika...waondokeee...!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...