Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akizungumza wakati wa kikao chake na Ujumbe wa Wanafunzi kutoka Marekani waliomtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam, leo. Nape alijadiliana nao masuala mbalimbali ya siasa. Kushoto ni Kiongozi wa msafara huo, Jola Yoder kutoka Idara ya Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Spokane, Marekani. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
NAPE AKUTANA NA KUWA NA MAZUNGUNGUMZO NA UJUMBE WA WANAFUNZI KUTOKA MAREKANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...