Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini, Dkt. Yassir Mohamed Ali kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt. Yassir Mohamed Ali, Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha Kutia Saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) kati ya Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo
Sudan ipi? Jamani tuwe makini, kuna Sudan ya kaskazini na Kusini ni nchi mbili tofauti.
ReplyDelete