Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo (kushoto) akitia saini kwenye hundi yenye thamani ya sh. mil. 100 alizotoa msaada kwa Chadema, baada ya kufurahishwa na ushindi wa chama hicho katika Jimbo la Arumeru Mashariki Jumapili. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Antony Komu. Hafla hiyo imefanyika leo nyumbani kwa Sabodo Upanga, Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa (kulia), akimshukuru mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo baada ya chama hicho kupatiwa msaada wa sh. mil. 100, kwa kufurahishwa na ushindi wa Chadema katika uchaguzi uliofanyika Jimbo la Arumeru Mashariki, Arusha Jumapili. Hafla hiyo ilifanyika, Dar es Salaam
Picha na Kamanda Mwaikenda
Picha na Kamanda Mwaikenda
I am tempted to call this man "The father of Democracy". Congratulations to you Mr. Sabodo for your individual efforts to see democracy thrive in Tanzania.
ReplyDeleteGod Bless You!
Hii ndio Siasa ya Tija , sio kuegemea kwenye Chama kimmoja tu.
ReplyDeleteSabodo yeye ni CCM lakini ni mfano mzuri wa Demokrasia kwa sababu Demokrasia ndio msingi wa Maendeleo!
zitawatokea puani hizo hamumjui muhindi nini. Halafu Mzee Slaa mkono wake umeathirika nini, I kind of notice it bein in that position during the campaign.
ReplyDeleteHivi CHADEMA chama kinachopenda demokrasia kilitoa fomu za kugombea ubunge Afrika Mashariki? Eti bwana Komu???
ReplyDeleteHizo hela 100 Milioni ni za Maendeleo ya Siasa na sio kujengea Ma Bar na ma Pubs ,,,sawa Chadema?
ReplyDelete