MKurugenzi wa Masoko kampuni ya Bia ya Serengeti,Ephrahim Mafuru akizungumza mbele ya wanahabari kuhusiana na kampuni hiyo (SBL) kupitia vinywaji vyake bora kabisa vya Serengeti premium Lager, Tusker Lager na Pilsner Lager kuzindua promosheni kubwa na ya aina yake itakayoitwa VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO, itakayofanyika Tanzania nzima katika kipindi cha wiki 16 ambapo zawadi mbalimbali zitashindaniwa .Kulia kwake ni Meneja wa Kinywaji cha Pilsner Lager,Maurice Njowoka na kushoto ni Mkuzaji wa Biashara MPESA-kutoka Vodacom,Asia Natalia.
MKurugenzi wa Masoko kampuni ya Bia ya Serengeti,Ephrahim Mafuru akifafanua zaidi namna ya promosheni hiyo itakavyofanyika sambamba na zawadi mbalimbali zitakazoshindaniwa kupitia promosheni hiyo ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO, itakayofanyika Tanzania nzima katika kipindi cha wiki 16 ambapo zawadi mbalimbali zitashindaniwa .Kulia kwake ni Meneja wa Kinywaji cha Pilsner Lager,Maurice Njowoka na kushoto ni Mkuzaji wa Biashara MPESA-kutoka Vodacom,Asia Natalia.Zaidi Bofya Hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...