CHAMA CHA MAALBINO WILAYA YA TEMEKE KINAWAOMBA WADAU WOTE KUWASAIDIA MSAADA WA GHARAMA ZA NAULI KWENDA LINDI KUHUDHURIA MAADHIMISHO YA ALBINO DAY AMBAYO YANAFANYIKA KITAIFA MKOA WA LINDI. 

JUMLA YA WASHIRIKI 20 WANATAKIWA KUHUDHURIA. MSAADA UNAOTAKIWA NI FEDHA ZA NAULI SHS. 1,000,000/- AMBAZO NI SAWA NA 50,000/- KWA KILA MSHIRIKI. UNAWEZA KUTOA FEDHA TASLMU AMA TIKETI ZA BUS KULINGANA NA UWEZO WAKO. 

PIA MICHANGO YENU INAWEZA KUTUMWA MOJA KWA MOJA KUPITIA AKAUNTI NAMBA 2012300323 NMB - BENKI HOUSE. PIA WAWEZA KUJA OFISINI KWETU TANDIKA MWISHO, OFISI YA MTENDAJI WA KATA YA TANDIKA. WASHIRIKI WANATAKIWA KUONDOKA TAREHE 29/4/2012.
PIA MISAADA YA FEDHA TASLIMU INAWEZA KUTUMWA KUPITIA HUDUMA YA M-PESA NA TIGO PESA KWA NAMBA ZIFUATAZO

AMA UNAWEZA KUWASILIANA MOJA KWA MOJA NA VIONGOZI WA CHAMA KUPITIA SIMU ZILIZOTAJWA HAPA CHINI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...