Malawi's President Bingu wa Mutharika is reported to have died early on April 6, 2012, hours after the 78-year-old suffered a heart attack, a hospital source in the capital Lilongwe said.
Bingu wa Mutharika, the President of Malawi, has died according to sources in the country
The 78-year-old was rushed to a Lilongwe hospital yesterdaty after collapsing but was dead on arrival, the sources said.
The constitution makes clear that Vice-President Joyce Banda is first in line to take over as head of state in the impoverished southern African nation, although Banda’s expulsion from the ruling party in 2010 may complicate the transition.
Mutharika, a former World Bank economist who had been accused of despotism and mishandling the economy in his final months, appeared to have been grooming his Foreign Minister brother Peter as his successor.
Peter Mutharika had tended to deputise in his brother’s absence.
Police deployed in force across the capital on Friday after Mutharika’s admission to hospital, while 15 army officers took up position around Banda’s residence, witnesses said.
Before his death, Mutharika’s condition drew little sympathy on the streets of Blantyre, the commercial capital, where many people viewed him as an autocrat responsible for chronic shortages of fuel, food and foreign exchange. “Perhaps the end of our suffering is also nigh,” said Benson Msiska, a taxi driver stuck in a long queue for petrol in the southern city.
Source: here
Heee hii kamati Mr. President iko very biased.
ReplyDeleteMwenyekiti na kaimu wake ni 'me, angalau katibu wa sekretariat angekuwa 'ke.
Lakini tena umechagua yote madume, akina mama wakale wapi na siku hizi wamesoma?
TUNAMPONGEZA SANA MHE RAIS KWA KUTEUA TUME HII KWA WAKATI MUAFAKA, CHINI YA UENYEKITI WA JAJI WARIOBA, MAKAMU JAJI RAMADHAN, WANAZUONI NGULI WA KATIBA DKT SENGONDO, PROF KABUDI, PROF BAREGU, WANASIASA WAKONGWE DKT SALIM, BUTIKU, FATMA SAID ALI NA WANAJAMII WALIOMO TUNAWAAMINIA!
ReplyDeleteProffessor Lipumba naona aneongezwa kutoa mchango wake hapo vile vile.
ReplyDeleteImetulia
ReplyDeleteBaregu ndani ya nyumba..nimeikubali hii
ReplyDeleteTimu imekamilika hongera mheshimiwa Rais na pole kwa kazi hii nzito ,Mwenyekiti wa Tume swadakta . Lakini naona tuu wanawake Bara underrepresented sema hao waliopita tuna imani watatuwakilisha vywma. Na kwa nini Zanzibar na Bara iwe na idadi ya wajumbe wasa wakati wananchi wa Zanzibar idadi ni ndogo na Bara ina idadi kubwa ya watu ?
ReplyDeleteKimsingi azma imetimia japo kuwa dhana ya uhundaji wa Tume Huru haijatimia.
ReplyDelete[1].Tulitegemea kama alivyoahidi Mh.Rais ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii ungedhihirika ndani ya hii Tume lakini hilo nadhani halikuwezekana.
Hatujaona kiongozi wa madhehebu ya kiroho ndani ya Tume,hatujaona ushiriki wa wanasiasa wenye busara zao nje ya chama tawala,hatujaona ushiriki wa wanawake ulio sambamba na mabadiliko ya kisiasa,kiuchumi,na kiutamaduni,hatujaona ushiriki wa watanzania kutoka chombo cha kutunga sheria,hatujaona ushiriki wa watanzania sekta ya biashara,nk.
Kwa busara zangu,in a long run itaibuka mitizamo ya biased formation of this Constitutional Re-construction Commission kutoka kwa makundi ya kijamii ambayo hayakushirikishwa.
[2].Tulitegemea pia kwamba chanzo cha habari hii kwa kushirikiana na sekretalieti ya Ikulu,kuainishwa kwa taaluma,uzoefu,wadhifa na utaalamu wa wajumbe wa tume ili kukidhi dhana ya Utawala Bora chini ya kipengele cha Transparency kama ambavyo ilidhaniwa toka mwanzo.
[3].Kwa mshangao mwingine tunashindwa kujua kama hili linafanywa maksudi ama kwa bahati mbaya ama kutojua.Ikulu ni Autonomous Entity ambayo ina mifumo maalumu ya utoaji wa taarifa kwa umma.Kwa mara nyingi,mkurugenzi wa mawasiliano anatumia blogu zisizo rasmi na halali bila kuzingatia itifaki ya kanuni na taratibu za Ikulu katika utoaji wa taarifa.Mathalani,taarifa hii utaiona kwenye blogu kabla ya kuiona kwenye gazeti la serikali,utaanza kuiona kwenye website binafsi kabla ya kuiona kwenye blogu na website ya serikali.
Ushauri:Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kuweni serious na protocol ya hiyo aoutonomous entity.
[4[.Mwisho,Ni matumaini ya watanzania kuwa pamoja na mapungufu yaliyoanza kujitokeza awali juu ya uundwaji wa hii Tume,ufanisi,weledi,uelewa,busara,hekima,ukweli na uwazi vitakuwa nguzo ya upatikanaji wa Katiba ya Millenia Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Afrika.
Mdau.
Joachim K Global.
Mbona kamati hii viongozi wa juu wote ni CCM?
ReplyDeleteSina wasiwasi na tume, the way ninavyoichukia CCM, hapo JK ameweka U-CCM kando. Nusu ya timu ni watu wenye uchungu na nchi. Jamani nafasi ya kujikomboa ndiyo hii,Mungu atupe nini tena. Mungu ibariki Tanzania na Watu wake.
ReplyDeleteIngawa hawezi kuridhisha kila mmoja wetu, kamati ipo balanced.. ila vijana siwaoni humo... inakuwaje?
ReplyDeleteKuna mtu kama Pro Issa Shivji bingwa wa sheria kuachwa haingii akilini kuna kina Pro Safari, kina Nkono nadhani tume imelenga siasa zaidi kuliko hatima ya Watanzania. yetu macho bali tume itambue kuwa hatima ya safari yetu kwenye nchi ya matunda na maziwa ipo mikononi mwao. mungu ibariki Tanzania na watu wake.
ReplyDeletemdau Loliondo.
Kweli leo ni sikukuu. Comments za Tume ya Katiba mpya zinawekwa kwenye habari ya kifo cha rais wa Malawi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka
ReplyDeleteWatu wameshalewa
ReplyDeleteMADA NI KIFO CHA RAISI WA MALAWI SIO TUME YA KATIBA !
ReplyDelete