Wapiga kura watatu waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya  Lema wakiwa mahakamani kabla ya hukumu ya kesi hiyo kuanza kusomwa na jaji Gabriel Rwakibarila katika mahakama kuu kanda ya Arusha, Kushoto ni  Mussa Mkanga,  Happy Kivuyo na Agnes Mollel .Picha zote na  Shaaban Mdoe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ohhh Maumuvi makali Chadema pumzi zimewakatikia baada ya kisu kuzama katikati ya kifua!

    ReplyDelete
  2. HAWA JAMAA NDIYO MFANO WA MATUMIZI MAZURI YA "PEOPLE POWER" UHUNI NA UBAZAZI WA BAADHI YA WANASIASA UTAKOMA PALE WANANCHI WENYEWE, WAPIGA KURA WATAKAPOCHUKUA HATUA - WATZ TUNA SIFA YA UTULIVU. TUENDESHE SIASA ZA KISTAARABU, TULINDE HAKI NA UTU WA WAGOMBEA WOTE HUSUSANI WANAWAKE AMBAO NDIYO HUPOROMOSHEWA MATUSI, KASHFA NA UDHALILISHAJI. TUKATAE WANAWAKE WANAPODHALILISHWA KAMA ILIVYOTOKEA ARUSHA MJINI. MAMA AGNES MOLLEL ASANTE KUUNGANA NA BW HAPPY NA BW MUSSA KUTETEA HAKI!

    ReplyDelete
  3. sAFI SANA!

    ReplyDelete
  4. Kwanza kabisa sijali nani yuko madaraki ilimradi wanaleta maendeleo. Ila kwa kesi hii nina wasiwasi saaaaana na uhamuzi wa jaji kwasababu ukweli ni kwamba justice system yetu imeoza na haki kupatikana ni vigumu kwenye kesi kama hii ambayo ccm wameshikilia mpini.

    Issue sio mwanamke wala mwanamme, issue ni HAKI NA SHERIA KUCHUKUA MKONDO WAKE. Hapa ccm wanatumia nguvu ya sheria kwa sababu wameshikiria mpini, too bad..

    ReplyDelete
  5. Sura zinaonyesha ni vibaraka - ......lakini ujue mfa maji haishi kutapa.

    ReplyDelete
  6. MsemaKweliApril 07, 2012

    Upotezaji wa hela za kodi tu. Mgombea mwenyewe hakufungua kesi, sasa wewe pilipili usioila yakuwashia nini?

    Yaani hawa wanachama watakuja kuingia matatani kwa sababu sasa wanaipaza CHADEMA Zaidi. Kwani maumivu itakayoyapata baada ya kiti kuchukuliwa tena na CHADEMA huku kidonda cha Arumeru Mashariki hakijapona.

    CHADEMA ina golden chance going toward 2015 na kesi imara kwa wananchi, kwani wakishashinda TENA Arusha, people will start paying attention hata kwenye sehemu ambazo sio ngome ya CHADEMA. Uchaguzi mdogo una attention nchi nzima, kwa hiyo hata sehemu ambazo zilikuwa zinaikumbatia CCM zitaanza kufunguka kuwa si jambo ya ajabu kuichagua CHADEMA.

    Itakuwa msingi imara na ni validation ya CHADEMA kuongoza ikiibwaga TENA CCM kwa mara ya pili Arusha Mjini. Kumbuka madiwani viti 8 wamekomba vyote, CCM haijaambulia kitu. Halafu bado Segerea. Kutakuwa hakutoshi kabla ya 2015.

    ReplyDelete
  7. Hawa ndio mashujaa wa Arusha watu watatu tu wameweze kuleta mapinduzi ya haki. Hongereni sana. Hawa CHADEMA wanajionyesha walivyokuwa na umimi, ubinafsi, mahakama inafanya vyema tu ikiwa matakwa yao yamesikilizwa vinginevyo mahakama zimeozo, kilicho bora kwa nini? Wao waendelee kuota kama wanadhani Arusha ndio Tanzania basi waendelee na fujo zao, wasituletee huku kwetu Pwani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...