Kocha Mkuu wa timu ya Al Ahly Shendi ya Sudan, Kooki Mohamed akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere,Jijini Dar es Salaam leo baada ya timu hiyo kuwasili nchini kwa ajili ya mchezo wake na Timu ya Simba SC kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho.Mchezo huo utachezwa siku ya Juma pili kwenye uwanja wa Taifa,Jijini Dar.
Nahodha wa timu hiyo akizungumza na waandishi wa habari.
Wachezaji wa Al Ahly Shendi ya Sudan wakiwasili kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba SC hapo Jumapili.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...