Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Mtanzania UKApril 10, 2012

    Ecclesiastes 7
    Wisdom
    1 A good name is better than fine perfume,
    and the day of death better than the day of birth.
    2 It is better to go to a house of mourning
    than to go to a house of feasting,
    for death is the destiny of every man;
    the living should take this to heart.
    3 Sorrow is better than laughter,
    because a sad face is good for the heart.
    4 The heart of the wise is in the house of mourning,
    but the heart of fools is in the house of pleasure

    ReplyDelete
  2. HIVI JAMANI CC HUWA HATUNA UTAMADUNI WA KUKAA KIMYA NA KUJIPANGA IPASAVYO KAMA NI FOLENI AU MAZIKONI? HII NI AIBU. NA KINACHOSIKITISHA ZAIDI NI KUWA HATA MAZINGATIO HAYAPATIKANI KATIKA HALI KAMA HII

    ReplyDelete
  3. kwa kweli imesikitisha,kuona hakuna mpangilio mwema jinsi watu wanavyosukumana,kwa nini isingeandaliwa uwanja wa taifa?poleni watanzania wenzangu

    ReplyDelete
  4. MBONA WAAFRICA TUNA FUJO SANA, KITU KIDOGO TU KUFUATA UTARATIBU UNATUSHINDA. SIJUI LINI TUTASTAARABIKA? KELELE TUPU HAKUNA ORDER

    ReplyDelete
  5. Kanumba umetuumiza, tumebaki hatuna majibu, maswali ni mengi kuliko majibu...Lulu hawezi kutupa majibu sahihi...imebaki kitendawili...Mungu akulaze mahali pema peponi...Amina

    ReplyDelete
  6. IMENIUMA MPAKA BASI. MAANDIKO YANASEMA. KUISHI NI KRISTO NA KUFA NI FAIDA. KANUMBA AMEVIPIGA VITA VILIVYO VIZURI, MWENDO AMEUMALIZA IMANI IMEMLINDA. AMEEN

    ReplyDelete
  7. Hawa wanaosema waafrika tuna fujo je amesahau kuwa huko USA siku ya "Ijumaa Cheusi" watu huumizana kutaka kuingia madukani? Hapo watu waamini kuwa Marehemu ametutoka kwa hiyo kila mtu anataka kuona na kujibu kuwa ni kweli ametutoka.UK watu wanauana kwa kuingia mpirani tu.

    ReplyDelete
  8. R.I.P Kanumba. You were one of a kind.

    ReplyDelete
  9. Afrika hakuna order, wewe anon hapo juu usifananishe black friday na hizo fujo huko. Kwanza black friday wanajipanga msitari ila wanakimbia sana kuwahi bei rahisi, majority wanatoka nchi maskini sana wengi wahindi na waarabu wanaopenda bei rahisi, lakini wanakaa kwenye mstari ila wanatoka mbio sana ukianguka njiani umekwisha. Sasa kwetu tunagombania hadi mazishi...hata ndugu wanashindwa kupata muda wa kumuona ndugu yao. Shame.

    ReplyDelete
  10. Black Friday ni nini wanakatiwa umeme? Mbona shughuri kumbe hata USA wanapewa mgao wa umeme Friday Mimi siku jua kwa NINI wanaita black Friday huku bongo kila mara ni black Monday mpaka Sunday ni shida kweli angalau black Friday ni siku moja tu.

    ReplyDelete
  11. Hongereni ndugu zangu kwa maandalizi mazuri na kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mazishi. Watanzania tunachoenzi na kujivunia ni ujamaa wetu.

    Kaka michuzi huyo ndugu hapo aliyepiga watu makaburini ni nani...

    Mungu amlaze kaka Steven (wajina wa mdogo wangu)Mahala pema poponi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...