Afisa Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akikabidhi mkataba wa kudhamini michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 kwa mjumbe wa kamati ya mashindano ya Dar es Salaam Daudi Kanuti baada ya kutia saini udhamini huo. Wengine ni Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah (wa pili kuilia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano TFF Saad Kawembe. Hafla hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 21 kwenye ofisi za TFF.
Afisa Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akitilia saini mkataba wa kudhamini michuano ya vijana wenye umri ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars 2012, huku mjumbe wa kamati ya mashindano Dar es Salaam Daudi Kanuti akishuhudia. Wengine ni Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah (wa pili kuilia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano TFF Saad Kawembe. Hafla hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 21 kwenye ofisi za TFF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...