Maharusi Jumaa Ibn Mohamed Hussein na Naseem Bint Midladjy Maez wakiwa katika furaha wakati wa Aqdi yao Ijumaa ilopita. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2012

    Maashaallah mumependeza ajabu maharusi, ishallah mwenyezi mungu awajaalie ndoa yenu hii atie barka na awape kizazi chema na muzidi kupendana

    awaeekee wepesi wa mambo yenu pale palipo na uzito awarahisishie amin

    mdau kutoka pemba

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2012

    Hongereni maharusi, mpendeze hivyo hivyo katika maisha ya ndoa. Kaka Maez wa TRL hongera kwa kuozesha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2012

    INSHALLAH !

    AMIIIIIN!

    Ndoa yenu iwe na Kheir!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2012

    MA'ANSHA'ALLAH MMEPENDEZA MNO!
    MWENYEZI MUNGU AWABARIKI,NA ABARIKI JUU YENU NA AWAKUTANISHE KATIKA KHERI!
    MJA'ALIWE KIZAZI BORA

    AHLAM UK

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2012

    Hongereni sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...