Watanzania wa North Caroliana wakinunua vitu mbali mbali kutoka kwa mwanamitindo wa kimataifa aliyebobea, Asya Idarous Khamsin alipokua North Carolina kwenye mwaliko maalum kutoka kwenye jumuiya ya Watanzania wa kuko kwenye sherehe za kuadhimisha siku maalum ya kina mama Duniani iliyfanyikia Durham, North Carolina siku ya Jumamosi May 12, 2012.
Model akipita mbele ya Watanzania wa North Carolina waliojumuika katika kuadhimisha siku ya kina mama Duniani huku akiwa amevaa mavazi kutoka kwa mbunifu gwiji la mitindo, Asya Idarous Khamsin.
Model akipita mbele huku akishangiliwa kwa nguvu zote kwenye siku hii maalum kuadhimisha siku ya kina mama Duniani iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania, NC na Asya Idarous Khamsin kualikwa kama mgeni maalum na kuonyesha Vivazi vyake.
Flora Minja UPOOOOOOOOOOOOOOOOO!
ReplyDeleteBARUA YA UCHUMBA
ReplyDeleteKWENDA KWENYE UKOO WA HAJJAT AWLAA/USTADHAT/SHEIKHATT Bibie ASYA IDAROUS KHAMSINI.
Mimi Mdau nilishatoa kilio changu cha dhati kwa kutaka kujua kama Bibie Asya Idarous Khamsini ana (Wadogo zake wasichana, Mabinti wake au wa ndugu na Ahli zake wa karibu)
Hii ni kutaka kupeleka ombi langu mimi Mdau na Ustaadh kama nitapata Binti kutoka katika Mlango wenu au Nasaba yenu nami nipate JIKO.
Ninahitaji nishirikiane nanyi kwa karibu kwa vile nimevutiwa na kazi nzuri afanyayo Mamaa ASYA IDAROUS KHAMSINI ktk Tasnia ya sanaa kwa Ujumla kwa vile hata mimi nina chenga chenga za mkono wa Sanaa hasa Uchoraji.
Natanguliza shukrani,
Wenu Mdau,
USTADH MOHAMED.
DAR ES SALAAM.