Balozi mpya wa Tanzania nchini Misri,Mh. Mohammed Haji Hamza awasilisha rasmi Hati zake za utambulisho kwa Kiongozi Mkuu wa nchi ya Misri,Field Marshal Muhammed Hussein Tantawi katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Makao Makuu ya Wizara ya Ulinzi mjini Cairo, Misri hivi karibuni.
Mh. Balozi Mohammed Haji Hamza akipokewa kwa heshima na wenyeji wake muda mfupi kabla ya kuwasilisha Hati zake za utambulisho kwa Kiongozi Mkuu wa nchi ya Misri Field Marshal Mohammed Hussein Tantawi.


Kweli kazi yetu ya ualimu imekuwa ni kazi ya malofa!! Yaani Shekhe miaka michache tu baada ya kuachana na kibarua cha chaki nha ubao umekuwa mtu wa kupigiwa saluti na majenerali na field marshal, hongera sana mwalimu Hamza!!
ReplyDeleteWenzetu maaskari wao wako fit ukilinganisha na maaskari wa bongo vitambi kwa kenda mbele
ReplyDeletewatu wanakua na kazi zao maalum,usidhani alikua anshika chaki tu
ReplyDeletekazi maaluma ni waalimu walioelmika
ReplyDelete