Home
Unlabelled
chemsha bongo......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watano tu? wanne wakubwa na mmoja mdogo
ReplyDelete5
ReplyDeletehawa ni farasi 5
ReplyDeleteHawa farasi wako watano(5)
ReplyDeletewako watano
ReplyDeleteyap, Farasi wako watano
ReplyDeletebwana michuzi wako wanne.
ReplyDeleteWatano (5)
ReplyDeleteHaymkini hawa watakuwa ni Farasi watano(5),wanne(4) wakubwa na mmoja(1) mdogo!
ReplyDeleteImage Profession
wapo farasi watano
ReplyDeletewa 4
ReplyDeletedaah, hii nzuri..wako watano aisee.sema
ReplyDeletehsm
Farasi wa 5:)))
ReplyDeletewapo 5
ReplyDeleteFarasi ni wa nne na mototo mmoja,jumla ni watano.
ReplyDelete5
ReplyDeleteWAKO WATANO (5)
ReplyDeletePana farasi watano uncle
ReplyDeleteWATANO(5) KULIA KUNA WAWILI(2) yupo Mkubwa na Kaduchu labda huyo Kaduchu mseme sio farasi sababu mdogo kama NDAMA, KULIA kuna MOJA(1) KATIKATI SASA NDIO UTATA NIMEONA WAWILI (2) = 5 nimepata JUMLA FARASI 5 TUNASUBIRI JIBU, MZ
ReplyDeleteHahahahaha.....ni watano bhanaaa
ReplyDeletehhahahahahahaha....ni watano, ukihesabu vichwa au miguu yao, it bmes cmpl
ReplyDeleteHao farasi wapo watano.
ReplyDeletetano
ReplyDeleteKuna farasi watano (5)..
ReplyDeletewapo watano: wakubwa wanne na mdogo mmoja
ReplyDeletewapo watano: wakubwa wanne na mdogo mmoja
ReplyDeletewatano mjomba
ReplyDeleteby DUKE OF IRAMBO
wako watano.
ReplyDeletekushoto mmoja , kulia mmoja na kati watatu.
safi sana.
Wako farasi watano
ReplyDeletefarasi watatu
ReplyDeletewatano farasi
ReplyDeletedala!!!
ReplyDeleteWako 4
ReplyDeleteHUHITAJI DARUBINI KUBAINI IDADI YA FARASI HAWA, WANAONEKANA WAZI WAKO WATANO,
ReplyDeletewatano!
ReplyDelete5
ReplyDeleteWapo wa 5
ReplyDeleteMike
Five of them.
ReplyDeleteMe nimeona watatu wakwanza katikati,mwengine kushoto karibu na mkia wa huyo wakatikati na wa tatut kulia kichwa chake kimekaribiana na huyo wakatikati.
ReplyDeleteHapo kuna Farasi 4 watatu wakubwa n mmoja mtoto.
ReplyDeletewako watanomean 5
ReplyDeletewapo farasi watano
ReplyDelete+614770477462
farasi ni watano,,ila huyo wa katikati ndo anautata mpaka uwacheck miguuni,,la sivyo unaweza kusema wanne lakini ni wa5
ReplyDeleteAhlam
mbwana michuzi farasi wako 4 wa3 wakubwa na 1 mdogo.
ReplyDeleteWatano hao
ReplyDeleteWapo 6
ReplyDeleteWako sitaaaaaaaa aibuuuuu tupu watanzania hamna macho daaaaaaaaah siamin ni mim tu nimeweza pata hadi sasa!!!!
ReplyDeletechemcha bongo JIBU NI WATANO walioandika 5 wamepata.walioandika 4 wanahitaji miwani.waliochora 3 anahitaji kupumzika.
ReplyDeletehapo wamesimama farasi 31, na waliokaa ni 23
ReplyDeletenimegundua kabisa ni kiasi gani watanzania tuna matatizo ya macho na shida kufahamu
ReplyDeletehapo hakuna farasi watano 5
hapo kuna michoro ya farasi watano 5
mdau uholanzi.
sabini na mbili
ReplyDeleteWako 5 Wa4 wakubwa mmoja ndama wa farasi.
ReplyDeletewatano
ReplyDeletewapo sita kk
ReplyDelete