Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2012

    THUBUTU MORINYO ATAKWENDA CHELSEA LA SI HIVYO COCHA ALIYE JIUZULU BACA ATAVAA BLUUUUSS...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2012

    Labda hawatashuka daraja?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2012

    Hii timu itashuka daraja mwakani tu. Mourinho, na Guardiola kamwe hawatakenda bwawani. Bwana si timu ya mvuto Uingereza, hiyo ilikuwa zamani hata kabla ya Michuzi kuota meno na kuacha kunyonya. Wapenzi wa Bwawani kaeni mkao wa kula dozi toka kwa wakali wa England mwakani. Nyie mtakuwa tu jamvi la wageni. Si mlisema Oh King Kenny, Oh sijuwi nini...kiko wapi? Ile timu imelaaniwa na Sir Alex Ferguson na kamwe hamuwezi kuchukua kombe hata iweje.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...