Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar jana ,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.
Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,mkutano huo unahusu masuala mbali mbali ya kiutendaji,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2012

    swala la kuchoma makanisa na vurugu ya kuvunja amani kwenu halina kipaumbele

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2012

    hatuutaki muungano full stop!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2012

    Wewe mdau unajua wanazungumza nini?

    Wacha fitina zisizokuwa na msingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...