Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akizungumza na watendaji wa Ofisi za Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika mkutano wa majumuisho uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni jana ,baada ya kumaliziki kwa ziara katika Mkoa huo,wa pili kulia Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali
Iddi,Waziri wa nchi Ofisi ya Rais na Mweenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame,(kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe.
Baadhi ya watendaji wa Ofisi za Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na watendaji hao katika mkutano wa majumuisho katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni jana ,baada ya kumaliziki kwa ziara katika Mkoa huo. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...