Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika barabara ya Morogoro rodi kutokea Magomeni Mapipa mpaka Faya mapema leo asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2012

    mazingira machafu safi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2012

    Sasa si kungekuwa na jogging track hapa kwa pembeni si ingesaidia jamani...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2012

    Kuchafu kweli

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2012

    Da,hali inatisha kwa kwely cha kushangaza mamlaka zipo cjui zinafanya kazi gani jamani!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2012

    KWA KWELI HALI YA MSONGAMANO WA VYOMBO VYA USAFIRI NI MBAYA KILA SIKU KATIKA BARABARA ZOTE KUBWA KWA KUELEKEA MJINI SAA ZA ASUBUHI NA KUTOKA MJINI SAA ZA JIONI, WAHUSIKA NA MIUNDOMBINU KUNENI VICHWA KUPATA UFUMBUZI, KUMESEMWA KUNGEKUWA NA TRENI KUTOA WATU KULE KULIKO NA RELI K.M. PUGU HADI MJINI NA KURUDI LAKINI KIMYA SIJUI IMEKATALIWA NA HATUJULISHWI. MWISHO KWA SAHIHISHO LA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU .. HILO NENO RODI LA NINI NA TAYARI NENO BARABARA LIPO????? BLOG NI YA KUELIMISHA MUANDIKE KWA USAHIHI TUNAISOMA WENGI.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2012

    Wanajenga barabara ya magari yapitayo kwa kasi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2012

    utafikiri ni dampo eti ndo mji mkubwa wa nchi aibu sana...

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2012

    yaan angalia hiyo mandhari,then ndo barabara ambayo wakubwa wote wanaokaa kinondoni mbezi,kunduchi wanai2mia kuingilia posta lkn tabu 2pu cjui mamlaka zinafanya nini.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2012

    Mazingira machafu ni kweli, lakini ndo bongo yetu, hakuna taratibu nk.Ila tukumbuke, usiache mbachao, kwa msala upitao.Na mdau wa jogging travk umechemsha, I would support a bicycle path.
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 31, 2012

    Kila mtu anachugua maisha yake,na haya ndio maisha viongozi wetu wanatulazimisha tuishi.
    Tuna rasilimali nyingi ambazo zingetuokoa na maisha haya ya kipumbavu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...