Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Mhe Grace J.E. Mujuma akisoma hotuba fupi ya kuwasilisha Hati Za Utambulisho kwa Rais wa Zambia,Mhe. Michael Chilufya Sata wakati wa hafla fupi iliyofanyika IKULU- Lusaka.
Mhe Balozi Grace J.E. Mujuma akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Rais Michael Chilufya Sata.
Mh. umependaza sana na hongera nyingi nyingi, wish you all the best.
ReplyDeleteGod bless you.
Yrs, Amymtg.