Home
Unlabelled
Hongera Chelsea kwa kupeleka kombe la ubingwa wa ulaya darajani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongereni saaaaaan wana wa darajani, kweli mnastahili pongezi nyingi hasa kwanza kwa kuwapa kibano barca na hao bayern ambao walijua kombe ni lao aluuuu umdhaniaye ndiye siye! hongerni tena na tena...... he he heee mlatie wa rg kama nakuona.
ReplyDeletemdau wa ukwee man u !
Murphy's law-If something is going to happen no matter what, it will happen'only delay for it to happen can occur
ReplyDeleteMALISA K.J.(BG)
!!HONGERA THE BLUES!!
vijana walibanwa lakini kwa sala zetu pamoja kama Prophet T.B Joshua alivyotushauri last sunday zimefanya kazi. Alisema game itakuwa ngumu ushindi utapatikana kwa penalt but we have to pray all na hasa wachezaji
ReplyDelete