Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua tovuti pamoja na Blogu ya CCM katika viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Mkoani Dodoma jana jioni.Wapili kushoto ni katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye, Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius Msekwa, Wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi wengine waandamizi wa Chama
Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua tovuti pamoja na Blogu ya CCM katika viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Mkoani Dodoma jana jioni.Wapili kushoto ni katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye, Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius Msekwa, Wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi wengine waandamizi wa Chama
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wanachama wa CCM waliohudhuria uzinduzi wa tovuti na blogu ya CCM katika viwanja vya makao makuu ya CCM mjini Dodoma jana jioni.
Baadhi ya Wanachama wa CCM walihudhuria uzinduzi wa Blogu ya CCM uliofanyika mjini Dodoma jana jioni.
Libeneke la CCM linalokwenda kwa link hii http://www.ccmchama.blogspot.com/ 
Muonekano wa Tovuti ya CCM iliyozinduliwa mjini Dodoma jana jioni na Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.wazeza itembelea kwa Link Hii http://www.ccm.or.tz/

(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2012

    sawa lakini kazi mliyonayo mbele yakujisafisa ni kubwa sana vinginevyo vyoote hivi ni kazi bure!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2012

    Picha no 2. North Korea na US wakiona hii watadhani na sie tumerusha rocket kwenda space au tunajaribu silaha yetu ya masafa marefu, hahahahahaa mweee kumbe ni uzinduzi wa ka-blog tu!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2012

    Jamani wana jamii napenda kuuliza hivi Rangi ya kijani ya ccm ni ipi?
    napata kazi sana kujua kwasisi ambao to na jua branding inanipashida kwakweli . Angalia shati alilo vaa JK na shati alilo vaa Nape, ukija la mkama ndo kabisaa. chaaja bu wote wana jiita wamevaa ngou ya ccm. bila kusahau tovuti you ina kijani zaaina nyingi
    je ni kijani ipi sahii?. why dont we have standad? au ndo kusema hata kwenye hilo mposhagalabala?

    ReplyDelete
  4. Salama Ankal, nimeona tangazo la tovuti mpya, nikaingia kwenye ccm.or.tz, page ya kwanza ni nzuri.....nikajaribu kwenda historia, hakuna kitu, nikajaribu katiba...hoola, nikaenda Muundo wa Taifa...hoola, nikasikitika sana. Nimesikitika kuona watu wanamdhalilisha raisi wetu, raisi wa nchi anafungua tovuti ambayo haijakamilika!!!WHY?, ingekuwa nchi zingine lazima mtu angewajibika hapo, hata jirani zetu wa Rwanda au Uganda hawawezi fanya upuuzi kama huu. Anyways, mimi ndiyo maoni yangu tu.....i am very disappointed though. Michuzi, hata ukiamua kubania maoni yangu..naomba uwafikishie wahusika.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2012

    CHADEMA hivyo hivyo wanaonesha rangi yao ni rangi nyekundu lakini wengine wanavaa sharbat unajua sharbat wee mshamba kwa hivyo hata wenyewe hawajakaa vizuri na ndio kwanza wana kama miaka miwili, sasa wakifikia enzi za CCM watavaa pink hahahahaha. Actually Chadema wameiga rangi ya CUF ila CUF umeshawaona akina mama wanaprint kanga special za rangi yao. Nyie bora mngelivaa kaniki ndio inayowafaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...