Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2012

    KWA NINI HAMKUJUA KINACHOTAKIWA? KOSA LA NANI? NI UBABAISHAJI TU!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2012

    hilda nimekupenda unavyoongea,,inaonyesha ungeachiwa ungefika mbali sana,,,ila naomba kuuliza kwani unavyosema wewe ni mtanzania wazazi ni watz kwani kuna watu wanasema wewe si mtanzania?sijaelewa hapo nifahamisheni,,au mmoja wa mzazi wako ni mzungu,,na huyo mwenzako ni washombe?Kama Mwisho na Rich.
    hata hivyo unaonekana ungefika mbali na ungetutangaza vizuri sana Tanzania

    Ahlam London

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...