Picha ya pamoja ya Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) na Wajumbe wa Kamati ya Sayansi na Teknolojia wa Bunge la Uingereza (House of Commons), walipotembelea makao makuu ya COSTECH jijini Dar es salaamm kwa lengo la kujifunza kazi zinazofanywa na tume na pia kuona namna ya kuingia ubia na tume hiyo.
Picha na Method Rutechura wa COSTECH
Picha na Method Rutechura wa COSTECH
Safi, lakini errors kibao. Tujijengee tabia ya kufanya proof reading jamani, haipendezi hata kidogo!
ReplyDelete