Ni jana tu tarehe 3 Mai 2012 Wanahabari walisherekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari, lakini kazi yao kwa kweli ni si sawa na ule usemi wa waswahili usemao "Kisiki cha mwiba" ni "Mwiba" ,kama wanaonekana (pichani),Wazee hao wapo mstari wa mbele sehemu fulani ,hatujui wapi? labda wadau watusaidie.

Lakini pamba au viwalo vyao ni kuwataka ugomvi ! wapwa zao akina Ras na niini au ffu,Any way wazee wa Libeneke lazima wapewe hongera na pongezi na heshima za kila hali.

Libeneke oyeeeeeeeeeeee! labda si vibaya kuungana na kambi ya ffu kuwapigia saluti wakulu kazi wa libeneke www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2012

    wazee wa libeneke lazima pcha hii walikua Somalia nchi ambayo hata hatuna ubalozi sijui kwa nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...