Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (kushoto), akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Timu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' wakati alipokwenda kuhani msiba wa mchezaji wa Simba Sports Club Patrick Mafisango huko Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari alfajiri ya jana. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayodhamini timu za Simba na Yanga imetoa ubani wa milioni moja katika msiba huo.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiwafariji kina mama waombolezaji wakati alipokwenda kuhani msiba wa mchezaji wa Simba Sports Club, Patrick Mafisango huko Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari alfajiri ya jana. Bia ya Kilimanjaro premium Lager, inayodhamini Simba na Yanga, imetoa ubani wa milioni moja katika msiba huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2012

    Hii picha ya mwisho sijaielewa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...