Maremehu Mama  Agnes Nyamwiza ruhuza.
 1/05/1927  - 02/05/2002

Mama, leo ni miaka 10 tangu ututoke ghafla.  
Upendo wako na malezi yako mema kwetuyanatufanya tukuone bado upo nasi kiroho. unakumbukwa sana na baba yetu askofu Christopher Ruhuza,wanao, wakwe zako, wajukuu, vitukuu na wote waliopata malezi yako.

Pia unakumbukwa sana na ndugu, jamaa na marafiki wote.
upumzike kwa amani. AMEN
 
MISA YA KUMBUKUMBU INAFANYIKA LEO 
JIONI MURUGINA, MABAWE NGARA
 
Ubarikiwe
 Auncle Sam Ruhuza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Chris RuhuzaMay 03, 2012

    Tunakukumbuka sana Bibi,Mungu akulaze mahala pema peponi amen...

    ReplyDelete
  2. Anna NilindaMay 04, 2012

    Bibi tulikupenda na daima tutazidi kukupenda, tunapata uchungu sana tunapokosa upendo wako wa dhati, ila imani yetu ni kwamba tutakutana tena Mbinguni na tutapata upendo wako tunaoukosa sasa.

    Upumzike kwa amani bibi. Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...