TAREHE 5 - MEI - 2012, UTAKUWA UMETIMIZA MIAKA MIWILI TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI. PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.
UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO FLORIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.
IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU RUTAGERUKA ITAADHIMISHWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 5 - MEI - 2012, KATIKA KANISA LA PAROKIA YA BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA, TANKI BOVU, MBEZI BEACH, DAR-ES-SALAAM, SAA 12.30 ASUBUHI.
BWANA ALITOA, BWANA ALITWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE. AMINA
Kristu......Naomba niungane na familia katika kumbukumbu hii kama "Omwijukulu".
ReplyDeleteDavid V
Huyu mzee skumfahamu binafsi, bali nilimfahamu kupitia binti yake mmoja niliyesoma naye na hatimaye kufanya nae kazi. Kutokana na masimulizi ya huyo binti anaonekana alikuwa ni mzee mwenye busara sana. Pole sana rafiki yangu Joyce na Da Florida.
ReplyDeleteLibe na Ilumi. Poleni sana
Babu tulikupenda sana ila Mungu alikupenda zaidi na amekuchukua ili upumzike milele, unakumbukwa sana na Wanamusibuka,wenyeji wote wa Bukoba vijijini,Bukoba mjini, Mkoa wa Kagere na Tanzania kwa ujumla
ReplyDeleteRAHA YA MILELE UMPE EH BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI AMEN
G. Muchuruza
Mwenyezi mungu amrehemu baba yetu mpendwa amweke mahali pema peponi. Amina.
ReplyDeletenapenda kuwashukuru wote kwa salaam hizo za upendo. Hususan namshukuru kwa dhati Kaka Michuzi kwa kurusha hilo tangazo na kulipatia nafasi kubwa na muafaka. Mungu awabariki. Mola amulaze pema peponi. Amina
ReplyDelete