Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2012

    kaka, hamna kilichokosewa hapo. wazungu hawakurupuki kama sie.. hapo maana ake hicho chuo jina lake ni University of Maryland, kama unavosema Mzumbe then unamalizia na university college

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2012

    MKUU HIYO SEHEMU NAIJUA SANA , WANAAITA MARRIOTT INN, NAFIKIRI HILO NENO MARRIOTT WALITAKA LIONEKANE ZAIDI, LAKINI NI MARRIOTT INN AND CONFERENCE CENTER. HIYO HOTEL IKO COLLEGE PARK NDANI YA UNIVERSITY OF MARYLAND.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2012

    ok....That mean University College of Maryland University

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2012

    sawa kabisa marriot inn na ukumbi wa mikutano, lugha yao hakuna mushkel

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2012

    University nameUMUC is a college in the traditional American sense of the word, albeit one associated with a university—hence, "University College." The "University of Maryland" prefix indicates the historical entity to which the college belonged originally. In the university's name, "University College" represents "the specialized concentration on professional development," while "University of Maryland" represents the affiliation of the university with the University System of Maryland

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2012

    lugha gongana ni huko huko bongo....mtoa mada inaonekana huna elimu ya university kaa tulia na box lako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...