Maandamano ya Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika Kimkoa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. 
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza (katikati) akiwaongoza wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika Kimkoa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Mratibu wa TUCTA mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Mwakaringa akizungumza katika Maadhimisho hayo.
Baadhi ya Wafanyakazi wakiwa kwenye kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...