Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wafanyakazi wakati akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi,katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Meyday) yaliyofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanayakazi wa Sekta mbali mbali za Serikali na Sekta Binafsi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEY DAY)zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kushoto) Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar,Zahrani Mohamed
Nassor,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...