Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam kwa mazungumzo leo. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akipokea zawadi kutoka kwa Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, leo.kulia ni Waziri wa Kazi wa Iran, Sheykhales Lam (kushoto) ni Mkarimani wa Makamu wa Rais wa Iran.Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.
Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, akiweka saini katika kitabu cha Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) wakati alipofika Ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo leo. Kulia ni Waziri wa Kazi wa Iran, Sheykhales Lam. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, baada ya umaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakiwa katika mazungumzo maalum,katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Dar es Salaam leo. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.Picha na Muhidin Sufiani-OMR








.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...