Mwimbaji nyota wa muziki wa taarabu nchini,Aisha Mashauzi akiimba moja ya nyimbo zake katika ukumbi mpya na wa kisasa wa Jambolee mjini Songea wakati wa onesho na kundi lako lililotumbuiza likiwa katika ziara zake katika mikoa ya nyanda za juu kusini.
Mwimbaji maarufu wa taarabu nchini Aisha Mashauzi akiwa sambamba na wacheza shoo wake wakionesha uwezo wao katika ukumbi wa mpya na wa Kisasa wa Jambolee mjini Songea jana ambapo onesho hilo lilihudhuriwa na wapenzi wengi wa taarabu kutoka maeneo mbalimbali ya manispaa ya Songea na hata kutoka wilaya jirani ya Mbinga na Namtumbo.
Wapenzi wa taarabu wa mjini Songea wakijinafasi wakati muimbaji maarufu wa taarabu nchini Aisha Mashauzi alipofanya onesho lake katika ukumbi wa Jambolee mjini songea jana.Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...