Afisa Tawala wa Wilaya ya Nyasa,Hapiness Msanga (kushoto) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma,Idd Mponda kwa ajili ya kukimbizwa katika wilaya hiyo.
Mkulima maarufu wa kahawa Wilayani Mbinga,Gotam Haule (kushoto) akimuonesha mche wa zao hilo kiongozi wa mbio za mwenge,Kapt. Honest Mwanossa
Wakimbiza mwenge wa uhuru wakicheza baada ya kumaliza mbio za mwenge katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma katika viwanja vya michezo vya Mbambabay.kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga,Idd mponda.Picha na Muhidin Amri.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2012

    tutakimbiza moto mpaka lini? kweli tunahitaji serikali mpya utakayoongozwa na viongozi wazuri wenye kujali hali za wananchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...