Mkurugenzi wa Msama Promotons, Alex Msama akimkabidhi msaada wa baiskeli ya watu wenye ulemavu, mkazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam, Mohamed Komu kwa ajili ya kumsaidia katika kazi zake. Msaada huo ni sehemu ya mapato yaliyotokana na tamasha la Pasaka lililofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Taifa na mjini Dodoma kati ya Aprili 8-9.
Mkurugenzi wa Msama Promotons, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa baiskeli ya watu wenye ulemevu kwa mkazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam, Mohamed Komu (hayupo pichani).
mkazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam, Mohamed Komu ambaye ni mlemavu wa miguu akitoa shukrani baada ya kukabidhiwa baiskeli yake hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...