Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jioni, akitokea nchini Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa G8.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal muda mfupi baada kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jioni, akitokea nchini Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa G8.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama leo jioni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Marekani ambapo alishiriki katika mkutano wa G8(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2012

    Do these people ever heard of conference calls, is there a need of welcoming back the president whose been away for only few days,this culture puzzles me and it cost a lot of tax payers money from fuel used to the airport that could be used in development projects and time wasted travelling and waiting for jk could be used doing something productive. I think its time for this culture to stop.
    Peace!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2012

    uncle labda mimi ndio sielewi vizuri naomba ufafanuzi ni lazima huyu bwana kila akienda akirudi lazima apokelewe na kundi kubwa la watu hivyo hao watu hawana kazi za kufanya ofisini kwao? kwa nini asipokelewe na watu wachache tu let say makamu wa rais na IGP pekee au mimi ndio mfinyu wa kuelewa mambo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...