Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha leo.
Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo mjini Arusha.
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dr. Donald Kaberuka akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) mjini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipongezwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dr. Donald Kaberuka (kulia) mara baada ya kumaliza kutoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha leo. Katikati ni Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha leo.
Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara (kushoto) akibadilishana mawazo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dr. Donald Kaberuka (kulia) wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha leo.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano huo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC mjini Arusha leo.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Arusha

Rais Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) , Waziri wa Fedha Dkt (wa pili kuhsoto) muda mfupi kabla ya kuzindua mkutano Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Afrika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
Ukumbi wa AICC wakati wa Rais Jakaya Kikwete alipkuwa akifungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
Rais Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) katika picha ya pamoja na Marais wastaafu wa Benki ya Afrika.


BOFYA HAPA KUSOMA HOTUBA YA MH. RAIS KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO HUO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...