Home
Unlabelled
TANGAZO MUHIMU.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ooh.... Kwanini isiwe "MASHEIKH WA MKOA" badala ya "SHEIKH WA MKOA"?????
ReplyDeleteMbona mie mmenisahau? Mie ni Mwenyekiti wa chama cha warina asali TBR pia ni Mwenyekiti wa Chama cha waganga wa Jadi TBR.
ReplyDeletetafadhali wekeni jina langu
MASWALI:
ReplyDelete1.Je huyo Kingozi aliyeruhusiwa kipitia mlango wa VIP akija na Mkewe ina maana atapita yeye Bosi na Mkewe HATARUHUSIWA?
2.VIP ndani kwa ndani ya nchi, sio kwa Safari za nje ya nchi?
3.Hao Wasimamizi watamudu vipi kuhakiki Orodha ndefu kama hiyo ya Viongozi wanaoruhusiwa?
4.Wana uhakika gani kudhibiti watu wenye Fedha kupita hapo kwa kutumia 'chapaa' yao?
5.Kuna uhakika gani kwamba huu sio Mpango wa kujihakikishia na kujipatia Rushwa?
Huyo jamaa wa mwisho achaneni nae. Hajui taratibu za kazi. Mbona watu wengine wanafanya maandamano bila kuruhusiwa. Jee wanakuywa wametoa rushwa. Ni katika taratibu za kazi tu ambazo mimi na wewe tunatakiwa kuzifuata.
ReplyDeleteNa vipi kuhusu Rais na Makamo wake, Mawaziri na Manaibu wao hawa tutakanyagana nao huko "kajamba nani" au wenzetu mnatwambia uwanja wenu hawajagi watu wa hadhi hizo nilizozitaja
ReplyDeleteSheikh mmoja, Maaskofu WOTE! tukisema tunaambiwa hatukusoma!
ReplyDeletenasisitiza, kwa nini isiwe masheikh wote na maaskofu wote badala ya sheikh wa mkoa na maaskofu wote?...jamani, hapa napo inahitaji elimu ya form four ili kujua huu ni upendeleo wa dhahiri?...naomba mrekebishe hili na mtuwekee tena humu ili tujue kuwa nyie ni waadilifu. pia msiache kujibu maswali mliyoulizwa hapo kuwa mnajitengenezea mazingira ya kupokea rushwa toka kwa wenye nazo wanapotaka kupita VIP wakati hawana hadhi..
ReplyDeleteMpaka mshauri wa mgambo? Duh kweli bongo tambarare!
ReplyDelete* KAMA KUNA MAASKOFU WOTE BASI IANDIKWE PIA MASHEIKH WOTE
ReplyDelete* VIPI VIONGOZI WA DINI NYENGINEZO
Naomba utawala wakae na cometie ya wabunge pia na maoni kwa jamii hili swala la VIP linaleta criminal nafikiri mmeona jinsi gani Maaskofu waliitumia hiyo chance kwa kupitisha madawa yakulevya!Nafikiri bodi ya uongozi ikae chini ichaguwe viongozi muhimu!Norway walimkatalia waziri wa south Afrika na jamii ya kinorwigian ikaona sawa sbb wako viongozi muhimu wakupita VIP sio mpaka mwenyekiti wakijiji!
ReplyDeletekwa nini maaskofu wote na sheikh mmoja tu!???
ReplyDeleteHapo haswa ndipo wanapopitisha pembe za ndovu na twiga kwenda wanakokujua, MUNGU INUSURU TANZANIA.
ReplyDeleteBaadhi ya hao ndiyo wanapitisha madawa ya kulevya wanaotakiwa kupita VIP ni wale wenye Diplomatic passports za Tanzania na Kigeni.
ReplyDeleteKamanga wa polisi
ReplyDeleteKamanda wa magereza
Daktari mkuu? Now you know where you are in the eyes of the public
Hapo sasa. Elimu, uelewa, shule, mantiki. Masheikh ulinganifu wake ni mapadre. Semeni mapadre wote ndiyo itakuwa sawa na masheikh wote. Ngazi ya juu baada ya sheikh ni sheikh wa mkoa, ngazi ya juu baada ya padre ni askofu.
ReplyDeletekwanza hili bao lenyewe halina hadhi ya kukaa sehemu inayoitwa airport,
ReplyDeletehili bao tumezoea kulikuta sehemu inayouzwa chai maharage tena kwenye miaka ya 1960 sio leo hii kwa ushauri wangu hili bao badilisheni nyinyi wahusika wa hii airport
jengine nchi hii inawadharau sana watu wa dini ya kiislamu na hapa inaonekana wazi kabisa kimaandishi sio kwa mdomo tu,
ila kwa hivi hii dini niyahaki na unaikuta siku zote inakuja juu tu hata ikandamizwe vipi
jaribuni kuweka equaly right kwa wote huu ni ushauri wangu, na ondoweni tafauti za dini na ubinafsi
hili liangaliwe kuhusu sheikh na maaskofu ambao ndio wengi wao na magari ya kifaghari na majumba makubwa kwa kuuza UNGA nchi hii
Unajua bado ninatafakari na kupata picha ya hiyo VIP LOunge ya Tabora. Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa uwanja wa ndege wa Tabora ni kama stendi ya basi yaani unamsindikiza mtu na kumuona mapaka anavyoingia kwenye ndege, sasa hii VIP Lounge ya nini tena?.
ReplyDeleteBarabara ya kutokea mjini inapitia kwenye Taxi way kwanza, au VIP ni sehemu yenye AC na makochi kwa ajili ya kusubiri ndege?.
Ninaamini kabisa aliyeandika bango hilo na mshauri atakuwa hajatoka nje ya mkoa wa Tabora na mawazo na fikra zake zimekuwa confined mkoani Tabora tu.
Mimi kama mzaliwa wa Tabora ambaye moja ya maeneo yangu ya kuchezea yalikuwa Airport na maeneo ya masimba kwa Sizya Mlilo tupokuwa tunafuata mapera na maembe nashindwa pata picha ya hiyo VIP lounge ya Tabora.
Itabidi this time niende Tabora kwa ndege ili nifanye utafiti zaidi huenda ndiyo maendeleo yenyewe hayo.
Lakini wanandugu kuna maaskofu, napadri na wachungaji, wameruhusiwa maaskofu na sio mapadri na wachungaji. Naona mashehe wana usawa kama wachungaji na mapadri ila shehe wa mkoa sawa na maaskofu. Hii ni tofauti tu kimiundo.UTARATIBU HUO NI SAWA
ReplyDeleteMchapaji wa TANGAZO hili hapo Airport Tabora atakuwa ametokea Kanisani sio bure!
ReplyDeleteHawa watu wabaguzi wa Kidini ndio watu hatari sana ktk nchi yetu,
KAMA KATIBA YA NCHI INASEMA TANZANIA HAINA DINI LAKINI RAIA WAKE WANA DINI, SASA ILI KUWAHESHIMU RAIA HUYU MWANDISHI KWA NINI ASISEME '''''VIONGOZI WA DINI ZOTE? '''''
NI KWASABABU WAPO NCHINI RAIA WENYE DINI KAMA WAISLAMU, WAKRISTO ,WENYE DINI ZA ASILIA NA WASIOKUWA NA DINI KABISA.
Kulingana na ufinyu wa akili yake ndio maana hata bango lenyewe halina hadhi kabisa ni kama bao la Maelekezo ya kufika kwa Mganga wa Kienyeji au Muuza miti shamba!
Mimi mbona sina dini lakini sisemi
ReplyDelete