Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini ya Mbali,James Kavuma (katikati) akimkabidhi ufunguo wa Bajaj, Augustine Kisinja baada ya kushinda uwakala bora wa bia za TBL nchini katika hafla iliyofanyika mjini Makambako, mkoani Njombe hivi karibuni. Pia Kisinja alizawadiwa gari aina ya Jac Canter lenye thamani ya sh. milioni 47.
Mfanyabiashara Augustine Kisinja ambaye ameshinda uwakala bora Tanzania kwa kuwa muuzaji na sambazaji mzuri wa vinywaji vya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), akiendesha Bajaj yyenye thamani ya sh. mil. 4.7 aliyozawadiwa na kampuni hiyo hivi karibuni mjini Makambako, Njombe. Pia Kisinja alizawadiwa gari aina ya Jac Canter lenye thamani ya sh. milioni 47.
Meneja wa Kampuni ya bia TBL kanda ya Kusini,James Kavuma, aliyekaa kulia akiwa na mshindi wa Gari na Bajaj Bw. Augustine Kisinja, katika picha ya pamoja na wafanyakazi wake wakati wa makabidhiano hayo katika mji wa Makambako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...