UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Norway, UNICEF Tanzania & Expatriate watauza kwa mnada wa hadhara Office /Household Fanicha, Magari & Generators tarehe 05 Mei, 2012 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,Lion Street.

MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa sets, Vitanda & Magodoro, Wall Unit, Meza za ofisi/viti, Cooker Gas/Electric, TV/ Deck, Refrigerator, Computer sets, Beverage Coolers, Washer/ Dryers m/c, Dish Washer M/c, Power Stabilizer 5kva, A/c split units & Window type, Etc.


MASHARTI YA MNADA:
1. Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huu gari litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
2. Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
3. Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.
4. Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru.
Kwa maelezo zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE, NKRUMAH STREET MKABALA NA CO-CABS
SIMU NA: 0754-284 926, 0767 284 926 EMAIL: universalauction@hotmail.com DSM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...