Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar jana,(kushoto) Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad. Picha na Ramadhan Othman,IKULU.
Home
Unlabelled
UONGOZI wa WIZARA YA HABaRI ZANZIBAR WAKUTANA NA RAIS IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...