President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with US Assistant Secretary of Commerce for Market Access and compliance Mr. Michael Camunez at Dar es Salaam State house this morning.On the left is the US ambassador to Tanzania Alonso Leinhardt.(photo by Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2012

    Ni macho yangu....ama! Darisalama na 'tRaVOLtA' au ndio badiliko la tabia nchi 'winter' inanyemelea.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2012

    si katokea majuu alikuwa bado hajavua

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2012

    Hivi ndio vivalo vyake hata kabla hajawa raisi hivyo usishangae kwa kuwa wewe umeviona leo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2012

    Hata kama ndo viwalo na si kwa kuwa vimeonekana leo tu hapo, watu wanavivaa na vinaendelea kuvivaliwa (mazingira na hata hali ya hewa navyo vina contribute katika mavazi) au kwa kuwa.....!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...