Baraka Jeku ambae ni mfanyakazi wa Vodacom Tanzania pamoja na mkewe Rukia wakiwa na nyuso za furaha baada ya kumeremeta jijini Dar es salaam.
Mama sasa shughuli imeisha niwakati wa kwenda kupumzika mama..alisikika Baraka akimwambia mkewe
Baraka na mpambe wake Ibrahim Kaude
Kwaito kwa kwenda mbele wakati wa mnuso
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...