Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2012

    Hayawahusu! Pigeni kazi kwa biddi mjenge uchumi. Haya ya ndoa za mashoga ni ya Wamarekani na wazungu. Sie waafrika tuna matatizo chungu nzima.

    Chama cha Democrats wao siku zote wamekuwa wakiunga mkno haya mambo. Wapiga kura mashoga wengi wanaki support hiki chama. Sasa Obama mnataka awakimbie wapiga kura wake?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2012

    Obama sio Mkenya ni Mmarekani. Sasa hawa wanajadili nini?

    ReplyDelete
  3. Tatizo la hawa watani zetu huwa wanafika mahali wanataka kuamini kwamba Obama ni Mkenya hivyo kwamba labda hata anawakumbuka!. Kama alivyosema mdau hapo juu wana mambo mengi ya kushughulikia badala ya kupoteza muda wao kumjadili huyu jamaa!
    Ni kweli ana asili ya Kenya lakini ni Mmarekani na atabakia kuwa hivyo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2012

    Obama na Wamarekani wenzake wapange mambo yao (JINSIA MOJA) kwa ajili yao tu na kamwe wasituletee sisi Ubwege wao kupitia Mashariti ya Misaada na Ushirikiano nao.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2012

    OBAMA ANAPANDA VIRUSI AMBUKIZI DUNIANI HIKI KITENDO CHA KuLAANIWA NA KAMWE TULINDE KISIINGIE KWETU NI USHETANI,MUNGU TUEPUSHE NA HILI JANGA

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2012

    Wakenya na watz wote mtafuata tu, maana akili zenu zinadepend kwa Marekani na Uk, Namuomba Mungu awasaidie maana hizi ni siku za hatari nadhani ni zaidi ya Sodoma na Gomora

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2012

    Just ni muda naowaamba wakenya wara lisiwauume kichwa tuko kwenye hili Janga ni allover sio America peke hata hapo kenya wapo mashoga mambo haya yapo toka kitambo kabisaa!!ila wazungu wanapenda ukweli na pia hawajifichi kabisaa sisi watu weuusi hujificha lakini mashoga tunao tele kama mombasa ndo kabisaa si bora kukubali i tell in tne Next 10 years wakenya mutakuliana na mambo hayo tunaoona hata Ulaya wametoka mbali si mwishowe wamefanikiwa ni kama siasa tuu zamani hamkuoona kuwa Rais Moi anaoondolewa na mpizani lakini muda ulifika so na haya mambo muyape muda tuu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2012

    ombama anafahamu fika anachokifanya kumbukeni yeye ni binadamu na ana dini yake na maadili yake na ni kweli damu yake ya kikenya ina run through his blood hata kama ni mmarekani anadamu aliyochanganya na ya kikenya ya kiislamu.
    so msimlaumu anatafuta kula yake jamani eeh ni mwana siasa siyo kwamba anapenda hili jambo lakini inambidi kuna nguvu zaidi zina push zaidi yake eti si kwamba kama ukiwa rais basi kila kitu una power nacho no kumbukeni hili sana ndugu zangu sawa

    obama ni mwana siasa na anatafuta kula yake na family yake ile a survive kwenye power na wote ndo wafanyavyo wakuu wa nchi hata mzee wake ndani ya nyumba si lazima umuhishimu kama wewe kadogo au mama si ndo anayeleta unga na dagaa kila leo hata kama ukiona amri zake si sawa na kama hutaki unahama nyumba au siyo

    so msameheni sana obama na muubeeni dua apate tena urais

    mmarekani mkenya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...