Pamoja na serikali kupitia jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Iringa kupiga marufuku malori kusafirisha abiria bado lori hili aina ya Fuso lenye namba za usajili T367 AAQ likishusha abiria baada ya kushindwa kupanda Mlima wa eneo la Magereza wilaya ya Ludewa baada ya kuzidiwa uwezo. Picha na Francis Godiwn.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2012

    Kifo hichoooo!

    Siwezi kusema cha kujitakia maana wananchi hawa wanahitaji elimu ya kutosha. Vile vile inawezekana usafiri ni shida katika maeneo hayo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2012

    If there is demand supply will have to emerge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...