Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2012

    Mkuu tunashukuru sana kumpata huyu bwana, huyu mtaalamu anamengi sana ya kutueleza , inatakiwa umpe muda mwingi pia anaposimulia muachie amalize kila kitu usimkatize anavitu vya maana sana, ikiweaekana stori za huyo mkuu ziwekwe kwenye movie za bongo, watengenezaji movie kichwa hicho mshindwe wenyewe watu kama hawa thamani yao ni zaidi ya mgodi wa dhahabu inategemea ni jinsi gani unaweza kuwatambua, big up mzee Hamsini, ikiwezekana tueleze unapatikana wapi, tupate hiyo hazina uliyonayo kichwani, ni yaho tu.

    ReplyDelete
  2. KHAMSIN ALKHAGJune 26, 2012

    Kwa heshima na taadhima kwako asiejulikkana hapo juu na kushukuru kwa kuniona hazina huo mtazamo wako mimi naukubali mimi napatikana Houston TX kwa hivi sasa ila siku zijazo narudisha majeshi nyuma narudi kijijini ndoto yangu niwe mzee wa baraza kwani nilisoma mchongo mmoja katika kesi za mauaji wazee wa baraza watakua wanawekwa kambini na per day itaongezeka badala ya shilingi ALFU KUMI basi hapo nimeisha jipanga, line hiyo mtuhumiwa hawezi ona nilitoga sikio kwenye enzi za ujahilia, vinginevyo itakua tararila nyingi kwenye vikao, kwa heshima zote namuheshimu kila MTANZANIA na kumuogopa pita katika angazake kwa usemi huo mtu huna haja ya kuogopa rudisha majeshi nyuma na kusema Bongo mpaka ujipange si kweli wa bongo utakosana nao ukilleta mishale imekutana MICHUZI naomba usinibanie kila mwenye maoni yake kuhusu kazi yangu mpya anika kama hali ya hewa haija chafuliwa mkubwa wako KHAMSIN

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2012

    this guy is so genuine, he would make a very good leader, 4 President in 2015 as an Indepenent?

    Viongozi wetu wangekuwa wakweli kama huyu bwana basi nchi ingekuwa mbali.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2012

    mi nimefurahi mzee khamsin kwa uwazi wako juu ya mambo uliyoelezea. Asante sana. Nimejua sasa kuhusu ubaharia ulivyokuwa hapo nyuma. Kumbe haikuwa kazi rahisi na ya lelebaba au lelemama.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2012

    Muuliza maswali hajajitayarisha vizuri maana anamrudisha mwenzake hapo hapo na ilihali anaonekana anamengi ya kueleza.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 26, 2012

    Shukrani sana shemeji yangu Khamsin kwa kunitengenezea siku yangu ya leo!
    Nakupongeza sana Da Asya kwa kupata mume kama huyu,,Nimefurahi sana sana
    Da Asya,siku ukijihisi una uzuni,,wewe mwambie tu huyo shem akuhadithie story moja wapo ya enzi hizo,huzuni utaisha,,Mzee Khamsini huchokeshi kusikilizwa katika watu mia nafikiri ni wawili au mmoja kama wewe!Wewe kweli una damu ya kiualim(KiJK JK Nyerere)
    Ni kweli unampango wa kurudi mwisho wa Reli?
    Msalimie sana Da Asya

    Lady Hanny

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 26, 2012

    mzee hamsini, ingawa haujapiga buku lakini nakuunga mkono. nakufananisha na vijana wetu john mashaka, john mnyika, january makamba na zitto kabwe. wote hao niliowataja wapo tanzania, unganeni muazishe chama cha kisiasa mbdala kitakachowakomboa wananchi wa danganyika. hongera sana mkuu tanzania inawahitaji watu kama wewe wenye uchungu na taifa lao

    ReplyDelete
  8. Du! Mzee Khamsin umenikumbusha mbali sana, Lwiche napafahamu vizuri sana kwa majina mengine pana fahamika kama Simbo au Luanda (kwenye mashamba ya migazi), halafu kuna vijiji fulani unapita kabla ya kufika huko, upande wa kushoto unakutana na kijiji cha Mahembe, na upande wa kulia unakutana na kijiji cha Kihinga pale pana migazi mingi sana pia kuna Nyani na Tumbiri (Ngedere) wengi sana, halafu palikuwa na chuo cha CCM, maarufu sana kama CCM Kihinga,
    Unasemaje hapo mzee Khamsin

    ReplyDelete
  9. HAHAHAA mdau ulie andika mimi ku run 4 prezda, looh hio kali nimeipenda, nakuahidi vingine kabisa na wanasiasa wenzangu mimi itakua ulaji tu nitaharibu vibaya sana watu watajuta kunichagua hivyo natoa ilani wasirogwe nipa majukumu yeyote yale zaidi ya mzee wa baraza, nimeridhika sana na maisha nimeyapatia hapa nilipo kutoka kijijini kufikia anga hizi na nina uhuru wa kusema hovyo bila mipangilio ukiwanamajukumu utafute nini cha kusema basi hayo maisha gani kwa hiyo hapana taka nataka sema hovyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...