Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kimeiteka Songea baada ya umati wa wananchi wa mji huo kujitokeza katika mkutano wa hadhara wa CCM uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma. Pichani, Nape akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja huo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma Cornel Msuha. (Picha na Bashir Nkoromo).
Home
Unlabelled
CCM YAITEKA SONGEA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...